Insurance ya Nduthi/ Bodaboda /Bike insurance

0
567

Wasee wa nduthi hapa mumeangukia joo. Bima Mtaani imewasort

Insurance ya Nduthi ni ka ya gari tu ni vile hii ina insure manduthi badala ya mandai.

Inakusort Kama wewe, msee umebeba au msee umebonda amehumia, ama maze nduthi imesanywa na magondi, insurance inakusort vibaya na kulipia ngori yote ya accident.

Inakusort Story za nduthi na za wasee wako na utihaji kama ma sanse na watihaji wa mtaa. After accident, wazito wanashindwa niaje next day uko kwa road masquad kibao.

Kwa nini uchukue insurance ya nduthi?

  1. Ukiwa na nduthi kadhaa uko insured
  2. Inacover helmet  na clady za leather zile msee huvaa
  3. Ukipelekwa koti na watihaji bado insurance inalipa
  4. Ata kama dere hana licence insurance inakusort ngori yote
  5. Ukibondeka bado wanakusort
  6. Nduthi ikichukuliwa na breakdown bado insurance inakusort
  7. Story zote za accident zinasortiwa.

Hapa Bima mtaani tunakusort bigtime.kujia insurance na hutawai regret. Mbona ushikwe na karao na tuko area.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here